ADA YA TAKA
Jedwali la malipo ya ada ya taka ya mbeya jiji
Malipo ya ada ya taka
Chagua eneo na aina ya biashara
Chagua kata, mtaa na aina ya biashara au kaya ili kuona ada yako ya mwezi na QR ya malipo.
57090055 Lipa green city waste solution
Hakikisha jina la mpokeaji na kiasi cha malipo kwenye programu yako kabla ya kuthibitisha malipo.
Malipo
Baada ya kulipa
Hifadhi namba ya muamala, kiasi na tarehe ya malipo
Tuma kumbukumbu pamoja na jina, kata na mtaa kwa timu kuthibitisha malipo na kuomba risiti
Website haithibitishi malipo moja kwa moja; QR ni njia ya kuanzisha malipo kwenye programu yako
Omba uthibitisho / risiti