01Ukusanyaji wa taka
Huduma kwa makazi na biashara katika maeneo tunayohudumia Mbeya
Maelezo ya huduma
Kwa nani?
Kwa kaya, maduka na biashara katika maeneo tunayohudumia zinazohitaji kupanga ukusanyaji wa taka za kawaida
Unapoomba huduma
Taja kata, mtaa, alama ya eneo na kiasi cha taka kwa makadirio Angalia ratiba iliyowekwa au wasiliana na timu ikiwa eneo lako halina ratiba iliyoonyeshwa




